STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Kwa kutumia matini za ushairi, kanda, kinasa sauti ongoze majadiliano ya kubaini vipengele vya maudhui ya kazi za kishairi katika fasihi simulizi |

Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Ongoza Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa vipengele hivyo wakizingatia hali halisi ya jamii |
Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa vipengele hivyo wakizingatia hali halisi ya jamii |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Ongoza majadiliano kuhusu vipengele vya fani katika ushairi wa fasihi simulizi |
Wanafunzi wajadili kufaa au kutokufaa kwa vipengele hivyo wakizingatia hali halisi ya jamii kwa mdomo na kwa kuandika. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Ongoza majadiliano kuhusu vipengele vya fani katika ushairi wa fasihi simulizi |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |